Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Uskonde utalala na Mimi mnyamwezi....hivi kwanza yule mganga anajua kupiga deki kule kusini kweli? Bondeni kule? I wanna make you Happy and less paranoid.

Usijali yale mapicha utayazoea tu! Mbona matunguli hukonayo comfortable tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnyamwezi usinitoe kwenye reliii unataka kuniambia unashindana na mzee wa tunguliii nione nan mshindiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnyamwezi usinitoe kwenye reliii unataka kuniambia unashindana na mzee wa tunguliii nione nan mshindiii
Binadamu siku hizi tumekuwa kizazi jeuri sana. Kama kiranga ameanza ufedhuli wa kumtunishia misuli Mungu... Inakuwaje mimi nimnyali mganga wa kienyeji? Nahaminia na this time nachukua Mchuchu wake demiss.

Demu wake... Demu wangu...akikuhonga...unanihonga! [emoji23] [emoji23]
 
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
8a132bda-d3e4-49ab-b569-b96b0dd7276a.jpg

90a4153c-537b-403b-82ba-1257d22fa609.jpg

24234198-3d1f-427d-af66-4c73ca789e4e.jpg

View attachment 799136
Nikiwa mkubwa nitanunua tu.
 
Back
Top Bottom