Kiatu changu kinazeeka ivoo.
Sijui kama nitapata tena aina hiyo.
Fresh.
Kilikuwa original ila ni chepesi.Mtumba au?
Piga buti ankle length haimkatai mtu mrefu.
Kilikuwa original ila ni chepesi.
Buti sivaagi mimi, dressing style yangu hairuhusu kuvaa buti.
Pia buti sipendi kwa ujumla
Kikinipendeza nakivaaPia sio mbaya.
Kuna vingine vizuri ambavyo sio buti.
na ndo principle za uvaaji.Kikinipendeza nakivaa
yummy
Kikubwa kinatakiwa kiendane na dressing code kwa ujumla.na ndo principle za uvaaji.
I love me some NB 576s.....the limited edition though....like the ones in the photo.
View attachment 799865
They are Awesome. Whats your size?
These look small.
Asante mkuuUmependeza sanaaaa
Mkuu tutake radhi wengine Viko mguunipicha karibia zote za hayo matakataka mmezidownload kikuu,hovyo kabisa..
Famba hizo wanavaa wanaume wa dar
ha ha ha ..mwanamke enyewe si umemuona mshamba yan kaona hivo ni viatuFamba hizo wanavaa wanaume wa dar