Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuh braza una mapaja manene kama Zari vile haki ya mungu mabata ushungu... 🙄🙄
[emoji19][emoji19][emoji19]picha karibia zote za hayo matakataka mmezidownload kikuu,hovyo kabisa..
We ni msambaa mkuu? samahani lakini...
Wachaga wanazipenda sana hizi sandals
huu mguu wa mwanaume umekosa nywele huna tofauti na wa Hamissa mobeto[emoji123] View attachment 799215
Mkuu mada ni viatu sio miguuhuu mguu wa mwanaume umekosa nywele huna tofauti na wa Hamissa mobeto
Mlezi viatu za namna hiyo nazpata wapi mkuu, na kwa bei gan? Nipo mwanza.
Hawa wasambaa pia wana Majinsi yao fulani hiviWe ni msambaa mkuu? samahani lakini...
Iko kiatu kariakoo kinapatikana chimbo gani na ni kiasi gani....?Mikato yangu![]()
![]()
Hii kiatu inafika bei gani....
Ulinunua wap...na bei inafikia ngapi?Kitu OG hiki kilinipa manzi![]()
nitajie bei haraka iwezekanavyo!!!!!
Hivyo viatu ni famba mzee. Angalia soli. Hiyo sio Tims OG. Angalia huu uzi post ya 22 nimetupia mimi Tims yangu OG alafu angalia fananisha na hizi unazoulizia.Hii kiatu inafika bei gani....
Inapatikana wapi hii....na bei je kiasi gani...?
Maeneo gani nitapata kwa dsm...OGHivyo viatu ni famba mzee. Angalia soli. Hiyo sio Tims OG. Angalia huu uzi post ya kumi na kitu nimetupia mimi Tims yangu OG alafu angalia fananisha na hizi unazoulizia.
Hivyo utapata hata kwa 60 hadi 50 ila kitu OG kuanzia 100+
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariakoo unapata ila ukienda kichwa kichwa lazima wakupige na famba. Mwenyewe nilienda wakanipa famba nikawacheka jamaa wakaona aibu kinoma nikasikia "subiri kidogo" wakaja na kitu yenyewe.Maeneo gani nitapata kwa dsm...OG
Nitakijuaje FEKI...na OG...nisaidie kwa hilo...Kariakoo unapata ila ukienda kichwa kichwa lazima wakupige na famba. Mwenyewe nilienda wakanipa famba nikawacheka jamaa wakaona aibu kinoma nikasikia "subiri kidogo" wakaja na kitu yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
wasukuma kwa rangi rangi hamjambo.