Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Cow leather
-2106156638-519912649.jpeg
-2106156638-273879560.jpeg
 
Nikupongeze mchokoza mada kwa kuanzisha uzi huu, ninapenda viatu vuzuri, halisi. Lakini, baadhi ya viatu mtoa post ulivyofungulia uzi hapo dizaini ni nzuri, lakini si viatu halisi, vipo chini ya kiwango,au macho yangu ya kibabu?

Asante kwa kuleta uzi wa maana
 
Jamani mimi nimelogwa? Mbona simu yangu nikitumia desk top version ya JF siwezi kuweka attachment? Ninaclick button inanichunia tu , nikitumia app ya JF sioni button ya kuatach. Naombeni msaada na mimi nikate kiu ya kushare vikanyagio.Huenda ni ujinga wangu ama kuna shida ya kiufundi.
 
12b3ed22cf3622d0af3c79bf20c13e28.jpg

Aiseee hiki wafanyakazi wa tanesco tuko pamojaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Adventurers hao, kupanda milima na shughuli zinazohusiana.Ukimuona mtu wa ofisi zile za tai kapiga hizi ujue ana matatizo huyo. Msongo wa mawazo.Hahaaa
 
Adventurers hao, kupanda milima na shughuli zinazohusiana.Ukimuona mtu wa ofisi zile za tai kapiga hizi ujue ana matatizo huyo. Msongo wa mawazo.Hahaaa
Hizo safety boot ni kama nilizopewa na waturuki wa Yapi Merkezi. Hahahaha!
 
Back
Top Bottom