Sipat picha ulivyo smart
nafikiri nitaonekana kijana zaidi....Wewe tena utatokelezeaaa
iko makini sana!
Mzee babaUkiwa unarud bongo ulete kama pair mbili hii mikato napenda sana kumpelekea mzee wangu anapenda sana
AsanteeeeePendezaaaa
Muonekano mzuri huficha shida zote Arleniko makini sana!
Aiseee hiki wafanyakazi wa tanesco tuko pamojaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]cha kike
Hizo safety boot ni kama nilizopewa na waturuki wa Yapi Merkezi. Hahahaha!Adventurers hao, kupanda milima na shughuli zinazohusiana.Ukimuona mtu wa ofisi zile za tai kapiga hizi ujue ana matatizo huyo. Msongo wa mawazo.Hahaaa