Kinapatikana wapi lakini?!
Napenda mwanaume akivaa hiki kiatu jaman
Hizi sio famba wewe..... Unajua vinapotoka....Famba hizo wanavaa wanaume wa dar
Unatupia na hapo.
Nakipataje hiki kiatu hebu nipeni connection nakitakHicho hapoView attachment 1114314
Naomba mrejesho plz plzNakipataje hiki kiatu hebu nipeni connection nakitak
Left or Right?View attachment 1121125
Xiaomi ndio vitakufaa.Nakipataje hiki kiatu hebu nipeni connection nakitak
Tatizo ni bei Mzee Baba zimekaaje manake duuh Hali tete sanaXiaomi ndio vitakufaa.View attachment 1122437
[emoji149][emoji149] bei yake ni [emoji3574]Tatizo ni bei Mzee Baba zimekaaje manake duuh Hali tete sana
Nadhani Tsh.250,000/=,nilishaona vya namna hiyo vinatoka ItalyBei yake ni ngapi msauziya