Socks NoGentleman style
Soxy no
Yes nakuelewaaa bt hizo ndefu saana za kuvaa mabuti bossSoksi fupi zinapendeza kwenye kiatu ambacho hakifiki kwenye Ankle, kile changu kinafika kwenye Ankle, soksi fupi itaishia ndani ambapo hakitaonesha shoo nzuri
Dah hiki ukianguka unapasuka kichwa wallah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]cha kike
Ahaaa, nimekupata mkuu.Yes nakuelewaaa bt hizo ndefu saana za kuvaa mabuti boss
Sawa boss ,Ahaaa, nimekupata mkuu.
Imebaki utekelezaji tu
Kuna socks flani hivi ukivaliaaa hivyo viatu unakuwaaa super hot daahKwanini mpwa....!!?
Mbona kama mdosho
Napenda mwanaume akivaa hiki kiatu jaman
Raha yake kiwe hakijapauka!Kitu OG hiki kilinipa manzi
Hivi kkoo shimoni bei zake nyasi kinoma, around 9,000
Ndio mkuuHivi kkoo shimoni bei zake nyasi kinoma, around 9,000
Plz msisahau kunipa mrejeshoAkikuta nina sura nzuri mbona hatonikimbia[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
kiatu hichi cha ukweli kinauzwa wapi?Hiki cha kwanza kabisa nakipata wapi
Tuanze kwanza kukutana na wewe kabla na yeyePlz msisahau kunipa mrejesho
Hivi labda nyooshi el saadatchukua hicho hapo
nilikuwa nacho nilivaa siku moja tu nikavigawa kiatu chepesi kama umevaa soksi tupu
Napenda mwanaume akivaa hiki kiatu jaman
Asee kweli!
Napenda mwanaume akivaa hiki kiatu jaman
Sure mkuu..sijajua kwa nini amekipenda,wakati ni viatu vya kawaidaFamba hizo wanavaa wanaume wa dar
[emoji2][emoji2][emoji122][emoji122] atleast
Wakak wa chuo sna neno