Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

415c9d56cf793b45a4b6219f016dd2a6.jpg

Napenda mwanaume akivaa hiki kiatu jaman
Kolomije moja
 
12b3ed22cf3622d0af3c79bf20c13e28.jpg

Aiseee hiki wafanyakazi wa tanesco tuko pamojaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hiki mimi kinanifaa kwa kazi zangu za site[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nifanyie mpango demiss [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Na ukitaka kumjuaaa mwanaume mstaaarabu angaliaaaa kiatu alichovaaa,unaweza kukuta mwanaume kavaaa kapendezaa balaaa ilaa ukiangaliaaa chini viatu havitizamiki
Exactly
 
Back
Top Bottom