KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Mwanzisha thredi naomba kujua una jinsia ipi!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna socks flani hivi ukivaliaaa hivyo viatu unakuwaaa super hot daah
yes yes mkuu watu pori sisi izo midosho hatuziwezi...[emoji2] [emoji2] [emoji2]Naona uko site na 'safety boots'
hahaha huo ss uchokozi wa wazi wazi...[emoji23][emoji28][emoji125][emoji125]I think hizo socks ziliokotwa dampo
Kizuri
Hivi nilivichukia kwasababu mitaa niliokuwa nakaa mashoga wengi ndio mikato yao!![]()
Nataman uvaee hii kitu tafadhali ukiwa unatoka out na wifii yangu
Asante [emoji3]![]()
Haya vaa hicho kama cha baba mzaa chema
na akiwa kavaa safariNa ukitaka kumjuaaa mwanaume mstaaarabu angaliaaaa kiatu alichovaaa,unaweza kukuta mwanaume kavaaa kapendezaa balaaa ilaa ukiangaliaaa chini viatu havitizamiki
Nakuja mkoani mwezi ujao, shauri yako ukija kunikimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa tu ila hatuwez vunja mkataba wetu
Kizuri, naweza vaa lkn mara chache itakua kwa siku maalum, maana huo mzigo wa soli kama sio kilo moja sijui [emoji125][emoji125]![]()
Hiki
Hata cviwezi, nimezoea flat shoes tu![]()
Shost nikupe hichi kinakufaaaa
hahaha sawa mama nitafutie sandals......mimi na viatu mbali mbali uwa navaa site tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mbn na wewe una churaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3](jokes)
![]()
Ukitoka site upitie hii kitu tutoke out handsome wanguuu