Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

leo nimesikitika mno na nimegundua wanawake hawajiheshim
yan mtu nimtumie picha yangu inbox alafu anakuja kunianika humu dah nimesikitika sana

sasa nasema sitokutumia tena picha hio ndo ya mwisho tuone utakua una post nn
 
Shida ni moja,mahb wengi sijui wanakulaga nini[emoji23]show za ni chini ya kiwango
Yani hawa ni kwa ajili ya kuwaota ndotoni,kuringia kwa mashost ,na kuuzia sura mkitoka out
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…