Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Asee hizi picha asilimia nyingi ni za ku Download google, Then mtu anatupia tuu, unaenda google unaandika " handsome boy" google ulivyo kuwa kimbelembele hataybisivyohusika inakuletea [emoji112] [emoji112]
 
IMG-20171223-WA0001.jpg
 
Inabidi tuwe wapole kwani tumetupia za vimwana wakali weee, sasa ni zamu yao. Hebu tupieni za ma-handsome ili nasi tujue pa kuwanasa part 2 kwani awali walidhani nguvu ya kiume ni pesa kumbe uso nao una nguvu duuuuh.
 
Back
Top Bottom