Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Bado sijapata jibu mawani yanafanya mtu aonekane mzuri au ni sehemu ya uzuri, asilimia nyingiiii tukisema watu wazuri lazima awe amevaa mawani angalia picha nyingi zilizotumwa... [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Au ndo wale ukiwaambia mawani imekupendeza [emoji41] anasema na uzuri unachangia huwa sielewagii mjueee.. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…