Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Asee hizi picha asilimia nyingi ni za ku Download google, Then mtu anatupia tuu, unaenda google unaandika " handsome boy" google ulivyo kuwa kimbelembele hataybisivyohusika inakuletea [emoji112] [emoji112]
 
KAMA MWANAUME UNAWEKA PICHA YA MWANAUME MWENZIO HUMU KWA KUDHANIA NI HANDSOME BASI WEWE NI SHOGA!
Hahahahaha povu La marekani hili dhidi ya Korea kusin bwahahhhah
 
Inabidi tuwe wapole kwani tumetupia za vimwana wakali weee, sasa ni zamu yao. Hebu tupieni za ma-handsome ili nasi tujue pa kuwanasa part 2 kwani awali walidhani nguvu ya kiume ni pesa kumbe uso nao una nguvu duuuuh.
 
Asee hizi picha asilimia nyingi ni za ku Download google, Then mtu anatupia tuu, unaenda google unaandika " handsome boy" google ulivyo kuwa kimbelembele hataybisivyohusika inakuletea [emoji112] [emoji112]
Za mawani si et[emoji23][emoji23]nmecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…