Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Usiweke ya yule jamaa wako, weka nyingine.
Screenshot_2018-02-02-08-36-42-1.png
my number one mim mzalendo
 
Nimeona umetumia beaty plus kumbe. Sasa kwanini unatumia beauty plus lakini wakati we mwanaume? Unajibeutify ili iweje kwanza?
Ndo mana hata mi nlihisi kama sio camera360 basi ni beauty plus[emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
 
Back
Top Bottom