Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Sipati notification halaf jana nilichoka nikalala mapemaJaman jaman [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] nimelia sana jana sjapata wa kunibembeleza Shunie ndo sipati picha alivyokusubir
Wa mikoani hawajipambi hivyo,halafu si ajabu atakuwa anaishi kwa dadaake.Wanaume wetu wazuri sio kama huyo.
Usiweke ya yule jamaa wako, weka nyingine.
Mmh hiki kichwa kina utata
Amalamba lips?? Dah, au yawezekana amezoea kulamba na lips za chini.Yule cheupe tunamwita chaurembo[emoji23][emoji23]analamba sana lips yule
[emoji23][emoji23][emoji23]Karibu sana roho ya mtu [emoji4]nimemic uwepo wako humu mjengoni [emoji7][emoji9]
Ila kipara kinamvizia. Nywele bado zinarudi myuma.Exactly jaman kama huyo wa Kwanza kwenye uzi ana pesaa balaaa alafu handsome lazma udate
Tuone na namba 2 tafadhaliView attachment 689121 my number one mim mzalendo
Ndo mana hata mi nlihisi kama sio camera360 basi ni beauty plus[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeNimeona umetumia beaty plus kumbe. Sasa kwanini unatumia beauty plus lakini wakati we mwanaume? Unajibeutify ili iweje kwanza?
Dah, haya bhana.View attachment 689121 my number one mim mzalendo
Hata kama hela sio hivyo. Hata mtu awe na hela huwa nachagua mimi.Unaweza kupata hasira ghafla wa hivi labda awe na pesaa Unapenda pesaa zake na sio yeye hapo ndo mzuka wa hisia unakuja bila hivyo mweeee siwez kwakweli
Docta weeeee unammaliza mtu.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 689122 muee mnanitumia pm kuniita sipati notification huu uzi unanihusu sanaa
Docta alifaa awe namba moja kwa Tanzania hapa hakuna kwa kweli
Tuone na namba 2 tafadhali