Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Mr_ec7e0a_1723993.jpg
 
Hao ni wanaume au ni mashosti wenzenu maana dume kamili anatakiwa kua na sura ngumu sasa tukifanana na nyie nan sasa atakua mwanamke ....hao ndo wapaka poda mnaowapenda wakiwagegeda chini ya kiwango mnakuja nama lalamiko ohooo wanaume wa siku hizi sijui wanavibamia hahaaaaa.Tafuteni wanaume ambao hata kioo kanunua kwa ajiri ya mkewe sio dume unajiangalia kwenye dresing table ili iweje[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama una sura ngumu tuliaaa. Tunapendaga ma hb hata sisi wana raha zake sema wachache
 
Back
Top Bottom