Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Wanaowaponda hao wanaume washazoea kuwa na wanaume wenye sura ngumu,,mkiwa mnafanya mapenzi mwanaume anakunja sura kama anataka kufa anaanza kukutisha,,sie wengine tushazoea wanaume wenye muonekano wa kuvutia na wanajua tu kut.omba na mengine juu,so endeleeni kujifariji [emoji23][emoji23][emoji23] wajaribuni hamtawaacha
View attachment 689407 anyway huyu kaka kaigiza kwenye Ray Donovan ,mdogo wake Ray huyu ni kama aliumbwa kwaajili yangu jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mwifwa nalia mimii
Jaman mama Sabrina sio Kwa mahaba hayaaaa
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Jamaani best ulivyoshangaa. Mmh.

Huwa nasikiaga na mie best ujue nilikuwa nataka uhakika kutoka kwa mumu. Hahahaaaa.
Hahaaa haya bwana, mi sisemi kitu[emoji12] [emoji12]
 
Hahaaaa. Nipo my dear. Pole mwaya na hongera pia.

Aisee wacha nijipange kwa hilo bonge la ofa. Ila mumu unajuaga kunitamanisha ujue. Tutaongea mwaya sababu maisha yenyewe mafupi haya.

Nakuombea my dear Insha Allah, kheri izidi kupatikana mwaya.
Hahahah Amina shostii,.maisha yenyewe yako wapi haya yakujinyima,...tunapambana Mungu akitupa basi si vibaya kujilia mema ya nchi ukiwa na uwapendao,haha kwani shin' ngapi eti,.aaah tuombeane tuu mwaya afya njema na mafanikio[emoji8]
 
Back
Top Bottom