mkuu tatizo tuna uzembe wa kifikraasante ..halafu hii dhana yakusema wanaume wenye muonekano wa sura nzuri kuwa sio wanaume sijui wameitoa wapi ??
hapo hapo wakienda Kanisani na misikitini wanakubali kuwa YUSUPH SIJUI YOSEPH ALIKUWA NDIYE MWANAUME MZURI KULIKO WOTE KUWAHI KUTOKEA ..AJABU SANA AISEE