Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
daah, aisee atawehuka huyu dada yangu wa hiari..
Nifanyie mpango niwe shemela wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah, aisee atawehuka huyu dada yangu wa hiari..
YeahNdio wewe sio
Inipitie mbali kwa kweli. Bora nichangamkie kwako.mzigua na mama s changamkieni fursa hio
Hahahahaa forumyangu nakupenda pia. Mpe maagizo yote binamu yangu Saint Ivuga atafikisha bila wasiwasi.m pesa inasoma lakini kijana .. tena ukimpa kilo tano tu ila ipitie kwangu , ngooja nikutumia namba yangu na anavyopenda mambo ya beach aisee utaenjoy sana.. i
ila kawivu kananijia tena daahHahahahaa forumyangu nakupenda pia. Mpe maagizo yote binamu yangu Saint Ivuga atafikisha bila wasiwasi.
Hahahahaaafu ww kila nikitaka kukupiga mistari unaniruka ruka.. hadi nikununulie icecream ama?
Hii haikidhi bwana,ha haaView attachment 688808
Kama haikidhi vigezo mseme niitoe
Akizingua jitupie mwenyeweCha mdeko usisahau kunitupia na mimi
Naahidi kutulia na wewe kama uhakika wa hela upo.Hiyo atapata tu Bila tatizo kama atakbali kutulia Nami.Atafurahi sana maana beache kila weekend
Hahahahaa.. hatimaye umepata shemejidaah, aisee atawehuka huyu dada yangu wa hiari..
Naahidi kutulia na wewe kama uhakika wa hela upo.
Mbona nishakukubali bby?Nifanyie mpango niwe shemela wako
acha wivu basi hutaki shemeji?.ila kawivu kananijia tena daah
Basi sawaa..Hela ya kuvimbia mjini ipo kiasi chake.teh
Hahahaa..Nitaanzisha Uzi wa wanawake wenye sura mbaya
hahaaHalaf kwao wazurii kweli ana kaka zake wewe nikiambiwa nichague nitaangalia mara mia mia,,kuna watu wamependelewa