Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Ray Donovan niliangalia nikaona sielewi nikaachana nayo
Aaaa basi we ungekaa nami ungeiangalia mwanzo nzuri balaa,yule Mickey Donovan ana vituko balaa halaf msela kwelii anawasababishiaga wanae matatizo kweli[emoji23][emoji23]
 
Aaaa basi we ungekaa nami ungeiangalia mwanzo nzuri balaa,yule Mickey Donovan ana vituko balaa halaf msela kwelii anawasababishiaga wanae matatizo kweli[emoji23][emoji23]
Mi napenda drama. Nione watu wanapendana wanakiss sasa wale hata nlikua siwaelewi. Bora niangalie Love And Hip Hop mara 50000
 
Weka na ya kwako tulinganishe
Stephen%2BWassirax.JPG

Are you happy now my love?
 
Halafu sijawahi iangalia hiyo. Ngoja niidownload leo niangalie. Unaangiaga LAAHH? Kule napendaga drama zao tu.
Ipakue my anza mwanzo utaniambia pm ,,wale wadada ni single wote wqna vituko balaa,unadhan sie tuna vituko hapa hakuna kabisa
 
Back
Top Bottom