Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

de26ed643dad638f29b51368e8865918.jpg
Black chocolate mwaaaah mwaaaah mwaaah
 
Demiss, mama Sabrina kuna mkaka humu anajiita Raphael wa ureno nadhani anawafaa angeniruhusu ningeweka pic yake hapa sema nini mimi na mahb ni Maji na mafuta home wadogo zangu wa kiume ni mahb km shombe za kiethiopia njoeni tuyajenge
 
Hahahhahahha nakuja unigaie mmoja

Huyo Raphael naona tayar watu wameshakimbilia pm
 
Demiss, mama Sabrina kuna mkaka humu anajiita Raphael wa ureno nadhani anawafaa angeniruhusu ningeweka pic yake hapa sema nini mimi na mahb ni Maji na mafuta home wadogo zangu wa kiume ni mahb km shombe za kiethiopia njoeni tuyajenge
Mmmmh mzuri kama nani toa mfano tulinganishe nisije ona wa kawaida tu
 
Back
Top Bottom