Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,178
- 4,449
Nami Ngoja nisubiri wa kuja pm kuchukua photo zangu.Nasubiria majibu
Mtaani kuna mabinti huwa wananiogopa hivyo huishia kusema flani yule anaringa,,,awapi kumbe woga wao tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami Ngoja nisubiri wa kuja pm kuchukua photo zangu.Nasubiria majibu
unatafutwa kwenye uzi wetu uleNasubiria majibu
Siwezi kukutwa mkuu labda wanibake. Hawanisisimui kwa chochote!Usiombe ukakutwa wewe acha masiara
ndio nini hii!![emoji20]Kutokana na kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:
1. Umeshika simu yako ya mkononi.
2. Unasoma hii habari.
3. Wewe ni binadamu hai kabisa.
4. Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo.
5. Ha ha ha nakuona umejaribu kusema neno PIPI.
7. Unajicheka mwenyewe.
8. Nimeona meno yako.
9. Unatabasamu!
10. Umeruka namba 6.
11. Ha ha ha ha unacheki kama kuna namba 6.
12. Umetabasamu!
....Nilipe gharama ya utabiri
MnaruhusiwaDemiss, na sisi Zilipendwa tunaruhusiwa kujitupia hapa?
We ni yupi? Huyo mrefu ni muarusha pureMimi mwenyew kitasa.View attachment 712906
Nakuona upo vizurMimi mwenyew kitasa.View attachment 712906
[emoji19][emoji19][emoji19]Unanichokoza eeeeeh
RubbishEmpty set