Uzi wa Kutupia Screenshot za Vibomu

Uzi wa Kutupia Screenshot za Vibomu

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kutupia screenshot tu za namna dada zetu wanatupanga ili watupige mizinga kwa kutumia Visingizio mbali mbali ambavyo havipo kabisaa..[emoji3][emoji3][emoji3] kama naumwa..nitumie nauli alafu haji..mama anaumwa au nimepata safari ya ghafla nina matatizo.

Screenshot kama hii..
20211013_141636.jpg
 
JF sikuhizi inapotea, nyuzi za hovyo tu kila kukicha
 
Dj walete [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kutupia screenshot tu za namna dada zetu wanatupanga ili watupige mizinga kwa kutumia Visingizio mbali mbali ambavyo havipo kabisaa..[emoji3][emoji3][emoji3] kama naumwa..nitumie nauli alafu haji..mama anaumwa au nimepata safari ya ghafla nina matatizo.

Screenshot kama hii..View attachment 1972976
 
Mzee wa kula tunda kimasikhara.
 
Mtaalamu wa kuanzisha nyuzi znazoishi..[emoji2][emoji2] Long live
 
Asubuhi tuu nimetoka shirikishwa swala la kodi. Kumueleza awapigie wazazi wake hataki ila changamoto ni hela. Mtatuua nyie viumbe
 
Back
Top Bottom