rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kutupia screenshot tu za namna dada zetu wanatupanga ili watupige mizinga kwa kutumia Visingizio mbali mbali ambavyo havipo kabisaa..[emoji3][emoji3][emoji3] kama naumwa..nitumie nauli alafu haji..mama anaumwa au nimepata safari ya ghafla nina matatizo.
Screenshot kama hii..
Screenshot kama hii..