Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Ikiwa unalia meno yanaonekana??
Ni meno ya wapi kwanza? Kwa sababu binadamu ana meno yaliyopo sehemu 3. Aina ya kwanza yapo nyuma ya kisogo, kitaalamu yanaitwa Magu. Aina ya pili yapo kwenye makwapa, kitaalamu yanaitwa huduma kwa wateja na haya ndiyo yanayofanya kazi sana katika mwili wa binadamu.

Na ya 3 yapo ndani ya ubongo. Unavyosikia digestion system inapoanza ku'take place ujue ndo hayo kazi ya meno. Kitaalamu yanaitwa pituitary gland teeth. Mi nashauri wa Tz tusome zaidi jamani. Mbali na hayo ni meno ya wapi una maanisha?
 
Back
Top Bottom