Hivi wewe ndo unayetumia ID ya Baba Swalehe??Hivi humu nimo jamii forums ?
hapna swaleheHivi wewe ndo unayetumia ID ya Baba Swalehe??
Instagram ndo makao makuu ya world cup ?Humu mkuu ni Instagram 😎😎😎
uko waptrick.comHivi humu nimo jamii forums ?
Dah...umekatikeje? Elezea [emoji2960]Huu uzi umekatika.
Kama anavyokatika Ray c🤔🤔🤔Dah...umekatikeje? Elezea [emoji2960]
HapanaInstagram ndo makao makuu ya world cup ?
Hivi umeelewa ?
Alitaka agundue id za watuHivi hyu alietengeneza hii jamii forum alitak Agundue nini?
Ana ubongo tu huyuHivi mleta uzi una akili kweli?
kumbe kabla ya kuanzishwa wewe ulikuwa na ID humu tayari?Alitaka agundue id za watu
Hakuna jiya chini ya jua mkuukumbe kabla ya kuanzishwa wewe ulikuwa na ID humu tayari?
jiya?Hakuna jiya chini ya jua mkuu