Uzi wa kuwatafuta waliopotea humu jukwaa la JamiiForums

Uzi wa kuwatafuta waliopotea humu jukwaa la JamiiForums

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Salaam, wanajf, napenda kuwatafuta wadau muhimu katika jukwaa hili la jf. Baadhi ya Ni Kama

1. TO YEYE
2. KICHWA KICHAFU
3. FAIZA FOX
4. SKY ECLAT
4. MPWAYUNGU
5. WA STENDI

Jamani, watu Hawa mko wapi mpate uteuzi?
 
Kunadada nilikuwa NAMPENDA sana.

@ukuty
Red scorpion.
Miss natafuta
Sky eclat.

Jamii FORUM ILIKUWA Moto
 
Back
Top Bottom