Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Haimaanishi ya kwamba mnunuzi atalipa fedha mtandaoni hapana, baada ya mnunuzi kuipenda bidhaa watawasiliana na kulipana nje ya hadhara hii, wao wenyewe,baada ya mnunuzi kuiona bidhaa (physical) na kuridhika nayo.Vipi kuhusu utapeli..?
Patamu hapo..😅Haimaanishi ya kwamba mnunuzi atalipa fedha mtandaoni hapana, baada ya mnunuzi kuipenda bidhaa watawasiliana na kulipana nje ya hadhara hii, wao wenyewe.
Fursa mzee, biashara ikiisha unabadili IDPatamu hapo..😅
Uhalali na ubora wa bidhaa itakuwaje kwenye uhakiki? Huoni watu wanaweza kuingia matatizoni kwa kuuziwa vitu vya wizi ama kupata hasara kwa kununua bandia au vibovu?Asalaam aleykum jamiiyah, kusudio la uzi huu ni kuweka bidhaa hapa ambayo unataka kuiuza ukizingatia biashara kwa siku za hivi karibuni zimekuwa za kimtandao zaidi, hiyo mtu yoyote atatupia bidhaa yake hapa na wanunuzi watatupia kiasi walichonacho kwa bidhaa husika,
N. B, muuzaji ataweka bei ya kianzio kwa uhitaji wake na wahitaji watatiriri kwa kile kiasi walicho nacho cha offer zao, mwishowe muuzaji atachagua kiasi cha bei kinachomfaa na kuifunga biashara.
Mkuu soko hili halina tofauti na masoko mengine ya kimtandao tofauti yake ni kwamba huu ni mnada hauna fixed prices, mnunuzi atatamka kile alicho nacho mfukoni na si lazima afike bei ya muuzajiUhalali na ubora wa bidhaa itakuwaje kwenye uhakiki? Huoni watu wanaweza kuingia matatizoni kwa kuuziwa vitu vya wizi ama kupata hasara kwa kununua bandia au vibovu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay nimeweka mtazamo wangu kulingana na uzoefu wangu kwenye hizi biasharaMkuu soko hili halina tofauti na masoko mengine ya kimtandao tofauti yake ni kwamba huu ni mnada hauna fixed prices, mnunuzi atatamka kile alicho nacho mfukoni na si lazima afike bei ya muuzaji
GourmetAsalaam aleykum jamiiyah, kusudio la uzi huu ni kuweka bidhaa hapa ambayo unataka kuiuza ukizingatia biashara kwa siku za hivi karibuni zimekuwa za kimtandao zaidi, hiyo mtu yoyote atatupia bidhaa yake hapa na wanunuzi watatupia kiasi walichonacho kwa bidhaa husika.
N. B: Muuzaji ataweka bei ya kianzio kwa uhitaji wake na wahitaji watatiriri kwa kile kiasi walichonacho cha offer zao, mwishowe muuzaji atachagua kiasi cha bei kinachomfaa na kuifunga biashara.
Laki 7!!??
Laki 7 na nusu mara ya kwanza!!!Laki 7!!??
Laki 7 na nusu mara ya piliLaki 7!!??
Elfu 80Laki 7 na nusu mara ya pili