Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpya au used? Je ina accesories zake zote?
Mpya ina accessories zake zote complete mkuu.Mpya au used? Je ina accesories zake zote?
Zamani hizo tuliviita six meno hatari sana hii kituSaiz46 imeshauzwa [emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2770815
Mara nyingi sana tunawauziaga watu wa mashirika kwa ajili ya kuvutia kambaZamani hizo tuliviita six meno hatari sana hii kitu
Ziposti na hizo accessories tuzioneMpya ina accessories zake zote complete mkuu.
Ina cable zake mbili, moja kwa ajili ya kushikia stick na ingine kwa ajili ya earth, pia kuna miwani yake ya kujikinga na miale ya moto.Ziposti na hizo accessories tuzione
Used au mpya?
Nimetumia binafsi kwa shughuli zangu ndogondogo pekee, hivyo imetumika kidogo sana, ina risiti zake.Used au mpya?
documents zipo?
Unapatikana wapi?