Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

mi nilikosa habari tu za mambo yanayoendelea nchini na nje ya nchi, maana bila jf ndio basi tena huwa siangalii tv, wala kusikiliza redio, kusoma gazeti wala kufungua blogs nyingine za habari
 
Niliwamiss wote kwani sikuweza kusikia mawazo yenu kwa muda wote huo
 
Ndio najua saa hizi.... [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Niliacha kuingia mitandaoni kabisa.
 
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji178] [emoji178] [emoji178] [emoji178]
Hahahaaa. Lol.
 
Wewe hao memba wapo na furaha hata mawazo hawana

Ila wewe wasiekujua una mawazo juu yao na kujiongezea magonjwa mwilini hata kukosa furaha..

Badilikeni
ushapewa buku saba mkuu mm niumwe kisa jf msyuuuuu
 
Matatizo ni sehemu ya maisha, lkn tatizo la kuishi bila kuperuzi JF ni tatizo ambalo limenivuruga.

Haya haya wakuu tuambizane ,kipindi JF ilipofungiwa kwa wiki tatu hizi ni member yupi ulimmiss sana na kwa nini?

Tukutane hapa tulioimiss jf[emoji23][emoji23][emoji23]

Hureeeeeee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimmiss MshanaJr[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....imerudi nimewahi kumchungulia kama katupia posts mpya.. Ebana ee jamiiforum ilikua ka kaulevi flan hivi.
 
Back
Top Bottom