Bahati tulikua kenya talk kidogo ilipunguza machungu ya kutoka jfmissed you too honey.
Yaani tumepata taabu sana but Alhamdulillah.
Hahahaaa. Lol.[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji179] [emoji178] [emoji178] [emoji178] [emoji178]
risechi ndo nn hta hvyo kuna memba nltman nkirud nkute washaptea !!!aahhh
Bahati tulikua kenya talk kidogo ilipunguza machungu ya kutoka jf
ushapewa buku saba mkuu mm niumwe kisa jf msyuuuuuWewe hao memba wapo na furaha hata mawazo hawana
Ila wewe wasiekujua una mawazo juu yao na kujiongezea magonjwa mwilini hata kukosa furaha..
Badilikeni
Hahaha pole lakini hatimae tumerudOooh. Bora nyie, mimi nilibaki nasubiri mda mfupi.ππ
Nilimmiss MshanaJr[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....imerudi nimewahi kumchungulia kama katupia posts mpya.. Ebana ee jamiiforum ilikua ka kaulevi flan hivi.Matatizo ni sehemu ya maisha, lkn tatizo la kuishi bila kuperuzi JF ni tatizo ambalo limenivuruga.
Haya haya wakuu tuambizane ,kipindi JF ilipofungiwa kwa wiki tatu hizi ni member yupi ulimmiss sana na kwa nini?
Tukutane hapa tulioimiss jf[emoji23][emoji23][emoji23]
Hureeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]