majanga gani kuleAaah hatimaye tumerejea home..kule kenya majanga
Nipe na mimimm nna namba ya Bahati ya biko
Wenye vyumaServer za JF zinapata tabu sana baada ya vyuma kuachia[emoji41] [emoji41] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1]
Aaah kule majanga, nilipewa kesi ya kutumia jina la member fulani maarufu wa kike hapa jf, nilipomkomalia mode nikala bani. Nikasema Alhamdulilah nimepewa sababu ya kutorudi tenaAaah hatimaye tumerejea home..kule kenya majanga
Usalama upo wa kutosha km zamani?
Barker alisalimika vipi na lile shambulio ?Aaah bana nisije ita mtu ng'ombe au ngamia kama majirani. Weken gazeti uzi gani tumaandishi tuwili tu
Kule huna hata uhuru halafu wengi kule ni wakenya ndio maana, wwngi wetu tulikuwa kule kwa kujishikiza tu ili kujifariji na kupotea kwa JFmajanga gani kule
Mimi pia bro aiseeJose I missed you brother
Aah kule kuna visa balaa, hata na hivyo tushukuru tupo TZ sasaAaah kule majanga, nilipewa kesi ya kutumia jina la member fulani maarufu wa kike hapa jf, nilipomkomalia mode nikala bani. Nikasema Alhamdulilah nimepewa sababu ya kutorudi tena
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wenye vyuma
Watapata tabu sana
[emoji1][emoji1][emoji1]JF imerudi na mwigulu katumbukiwa
Kule nimeondoka nikiwa villager huruAaah hatimaye tumerejea home..kule kenya majanga