Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Yani wanaume watanzania mnamatatizo makubwa,kila siku unalialia kwenye mitandao umeimis jf hivi mnaakili kweli nyie,huna kitu kapuku mkubwa unakaa nakulialia tu kila siku[emoji35] [emoji35]
Mwanaume tafuta pesa acha kulilia vitu vya kijinga utaolewa.

muwe na wkend njema
 
Aaah kule majanga, nilipewa kesi ya kutumia jina la member fulani maarufu wa kike hapa jf, nilipomkomalia mode nikala bani. Nikasema Alhamdulilah nimepewa sababu ya kutorudi tena
Aah kule kuna visa balaa, hata na hivyo tushukuru tupo TZ sasa
 
Niliwahi kukaa miaka sita bila ya kushiriki tendo la ndoa...hata hivyo sikujisikia vibaya sana ukilinganisha na hizi wiki tatu za kukaa kifungoni bila ya kuwa na Uhuru wa kupitia kwenye mtandao niupendao! Hata hivyo Mungu ni mwema sana na wakati umekuwa mwamuzi mzuri zaidi! Na sasa najivunia kuwa nyuma ya keyboard kupeperusha bendera ya Uhuru wangu.
 
Back
Top Bottom