Uzi wa ma-lastborn tu

Uzi wa ma-lastborn tu

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
1583934560685.png

Lastborn wana raha utasikia mwacheni mtoto. Hata akila mkate mzima wengine mkose hata hafokewi sasa kula wewe ambae wa pili kuzaliwa utaona cha mkutema kuni [emoji2][emoji2]
 
Mimi nakumbuka kuna siku kabla sijatoka home dogo alinikuta sebuleni naangalia kideo npo bize hatari flash yenyewe nliazima kwa mwana dogo akaja akabadilisha nkamzaba Kofi akaanza kulia aiseee jinsi ambavyo maneno yalimtoka Bi mkubwa dah jioni kuja kushtaki kwa mzee nikaambulia kuambiwa''kwani luku ulinunua wewe we unafanya kazi hela zako si unakunywa bia nenda kaangalie movie zako huko huko bar''Kidume nikaona ninyamaze mambo yasiwe mengi
 
Duhhh aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom