Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Nafikili hii tabia yangu ya kudeka inatoka na Kuwa lastborn Mama alijua kunidekeza mno.Ila ulast born Raha jamani.
Mama anasema muachieni mtoto,kila kitu anakula mtoto..
Hadi Sasa na uzee wote huu lakini bado nna kanafasi kangu nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app