Amiin...amwondoshee kabsa hzo adhabu
Mimi nakumbuka kuna siku kabla sijatoka home dogo alinikuta sebuleni naangalia kideo npo bize hatari flash yenyewe nliazima kwa mwana dogo akaja akabadilisha nkamzaba Kofi akaanza kulia aiseee jinsi ambavyo maneno yalimtoka Bi mkubwa dah jioni kuja kushtaki kwa mzee nikaambulia kuambiwa''kwani luku ulinunua wewe we unafanya kazi hela zako si unakunywa bia nenda kaangalie movie zako huko huko bar''Kidume nikaona ninyamaze mambo yasiwe mengi
Yanakuwaga machokozi halafu ukiyadunda utasikia mama mtoto anaonewa.
Mnajionaga mnajua kila kitu[emoji85][emoji85][emoji85]Firstborn acha tuwe wasoma comments tu