Uzi wa ma-lastborn tu

Kero ni kutumwa na kila mtu kisa wewe ndio mdogo[emoji134]
Tunatumwa Sana
Mimi nadhani Ni housegirl wa dada zangu..ikafika muda nikawa mkali maana nilikuwa naendeshwa Kama gari bovu.

Unakuta unaagizwa kitu dukani,unajrudi Mara unaambiwa tulisahau hiki nenda Tena...Mimi nilikuwa nawaambia ukiona umenituma kitu ukasahau kngine Basi uende mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1384357
Lastborn wana raha utasikia mwacheni mtoto
Hata akiwa mkate mzima wengine mkose hata hafokewi sasa kula wewe ambae wa pili kuzaliwa utaona cha mkutema kuni [emoji2][emoji2]


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha.... tupo tupooooo!!
Mimi ni last born pia, yaani enzi hizo tunakuwa, home ilikua hata kama watoto kuna kitu mnataka, mimi ndo naagizwa niende kuomba, maana inajulikana ndo chances za kukubaliwa zinakua highest!! Dinazarde
 
pumzika kwa amani mdogo wangu ....jana tuu nilikukumbuka , wakati nasikiliza wimbo wa Maroon 5-Memories , nawish ungekuwepo na mimi ningekuwa ninavimba kuwa na kabeauty sibling ,
Mama , kaka zako na dada yako Tumekumiss sana unaishi mioyoni mwetu Forever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…