Uzi wa ma-lastborn tu

Mdogo wangu wa mwisho utanisamehe tu kaka ako maana ulikua unanikera sana

Mm nataka kutoka kwenda kucheza mpira wewe unaamka kutoka usingizini [emoji1][emoji1]

Unaskia mother uko wewe leloic nenda kambebe mtoto kaamka nlikua natamani kukutia hata vichwa ulale tena

Ila mwisho wa siku nlikupenda maana ulivokua kidogo mm ndo nlikua mhasibu wako kwenye viela unavyopewa

Uishi milele kaka ako nakupenda
 
Hahaha
Me nilikuwaga sifanyi hizooo
Kama ulikuwa hufanyi hivyo basi wewe ndo wale kina pilato kipigo kwako ni njenje..😂 ila mi nafurahia kuwa na sista kuliko mi bro mibishi mibishi tu endapo muda mwengine ilikuwa ikinisevu kwenye kutoa kipigo ila sometimes kipigo Chao kiliniangukia Mimi badala ya adui zangu😂
 
Mdogo wangu ndio ana tabia ya kuwazingua wanaomzingua lastborn.
Me michezo ya kupigana pigana siipendi, madogo wakinizingua nawahesabia siku nikichoka nazibua stick za mwaka mzima.
Kuna muda natamanigi kama ningekuwa n kaka ili nione maisha yangekuwaje
 
Terrorists of the house and society[emoji23][emoji23][emoji23]

Waite na wenzio waleView attachment 1384481
Mbona kama viceversa kwenye familia yetu.
1. True
2. Sifa za second born anazo third born..second wetu n mkimya
3.third born ndio stubborn kinyama, afu kiko much talented ..dogo anatunga hadithi, anachora, ana voice ya kufundisha na uwa anapractice kwa kufundisha maua 😀
4. Lastborn ndani mazingaombwe tu 😀😀
 
Ha ha nafikiri ningekuwa mdogo wako ningechezea stiki za ukojozi na mishe za kupoteza hela maana dk mbili mbele nishakuambia nimepoteza hela kumbe nimeila utoto raha sana😂
 
Wewe lastborn tupo intelligent.. nyie sahivi sindo mnatusumbua tuwarekebishieni simu zenu hata kufungua internet tu zinawapa tabu.. Halafu mnakuwaga wapole tukiwa tunawafundisha naweza hata kukutuma maji ya kunywa na ukaleta😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…