Uzi wa ma-lastborn tu

Hata lastborn wetu naona hana favor zozote anazo pata, naonaga mie ndio napendelewa sijui ni sababu sio mkaaji sana wa nyumbani

Ila nyumbani kwetu watoto wote madeko mengi kwa mshua
Mmmh nikileta mahari huyo atakubali kwel kukupoteza cha mdeko wake?😂😂😂😂
 
Ha ha nafikiri ningekuwa mdogo wako ningechezea stiki za ukojozi na mishe za kupoteza hela maana dk mbili mbele nishakuambia nimepoteza hela kumbe nimeila utoto raha sana😂
Huo wizi sasa
 
Lastborn wetu mkorofi namimi ndiye mnyonge wake..anapenda pesa jama ni uwiii..usithubutu umpe pesa alafu unajua kwenye ile pesa Kuna masalia yanarudi hupati kitu.

Kijana mtata yule..[emoji3][emoji3]..ila ndiye kuli wetu wa nyumbani.

Juzi tu hapo katoka kunichekesha eti karudi kibaruani kavua viatu kamlalia bimkubwa miguuni..mama nae eti ooh mtoto kwa mama hakui..khaa!!

Ana huruma Sana na anapendwa na watu vibaya mno.

Ndiye mchizi wangu na msiri wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa kiziwanda unapewa ulinzi kuwaangalia dada mkitoka kwenda mahali.
Umenikumbusha mbali, zamani nakumbuka tumetoka mahali na mdogo wangu alikua mdogoo (kaka), njiani kuna jamaa akatujoin akaanza stories, aisee niliona dogo kakasirika huyo, akamzingua eti muache Dada ondoka[emoji3][emoji3] , nilishangaa alivomdogo na reaction yake, now amekua mkubwa basi huwa ananitania eti "nikimuona tena yule jamaa yako ntarusha ngumii"[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha wew dogo mi nimedeka wapii?
Kwahiyo kwakua huna dogo umeamua unipe mie hilo jina lol[emoji134][emoji134][emoji134]

Pampula unadeka bwana ndio maana ulisema umeacha pombe now unakunywa bia tu.
 

Mkuu umeniua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], hiyo kama unajikinga na Corona dah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nilikuwa nalia.
Nilikuwa nalia kipindi nilipokuwa naumwa.
Ilikuwa nikiwatuma watu hwanisikii nilikuwa nalia Sana..naanza kutambaa chini kufwata mwenyewe

Mama akirudi akikuta nalia huo msala wake si wa kitoto..anasema msininyanyasie mtoto.

Ila mama yangu alikuwa mwalimu wangu,shule alikuwa ananitandika kma kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…