Utakamatwa weweView attachment 1540694
Eti mwaka huu wamefunga milango, ukikatwa hakuna kutoka.. hadi hiyo bajaji iondoke.[emoji1][emoji1]
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya mabango wanayo onyesha wananchi kama njia ya kupeleka ujumbe kwa wahusika wakati huu wa uchaguzi.
Genge la kigaidi linalotumia mabavu ya dola kuendelea kutawala