Uchaguzi 2020 Uzi wa mabango ya Uchaguzi mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Uzi wa mabango ya Uchaguzi mkuu 2020

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya mabango wanayo onyesha wananchi kama njia ya kupeleka ujumbe kwa wahusika wakati huu wa uchaguzi.

FB_IMG_1597698277274.jpeg
 
Chedema Mbona kama mnavizia,,!!CCM wanatest mitambo msianze kurusha mawe.
 
NEC kama itatenda haki kuna ulazima wa kuwaondoa wagombea Urais wa CCM na CHADEMA, Maana wameanza kampeni kabla ya muda rasmi wa kampeni kuanza.
 
Back
Top Bottom