Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

Jf nzia wamejitokeza wawili tu kweli,,ndio uone wanaume wa humu maskini kutwa kujitapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Au wako siasani nini???
Hawa ambao wakiombwa 20elfu wanakuja kufungua uzi wa masimango!! Umewaonea sana kwa huu uzi mama.
Mabilionea wako busy wanatafuta hela huko. Hawa tunaoshinda nao tukichambana humu ni wenzetu tu.
 
Hawa ambao wakiombwa 20elfu wanakuja kufungua uzi wa masimango!! Umewaonea sana kwa huu uzi mama.
Mabilionea wako busy wanatafuta hela huko. Hawa tunaoshinda nao tukichambana humu ni wenzetu tu.
Haooo haooo,aisee kazi kweli ,,umenichekesha eti wenzetu ahahha una maneno weeee
Wamejitokeza wawili wanaume wa shoka nasubiria matusi yao ntaleta mrejesho
 
Bezikale wenye hera zetu huwa tuko vizuri... Brekifast napata Paris, lunch Tokyo, hapa nipo Moscow napata wine murua..... Karibuni ledz end gentlomen
 
mabilionea sie tuna vibamia sasa ww umeshazaa naweza nisi enjoy sex halafu hatuna pumz za kukimbizana na watu wazima
tunatafuta watoto wabich labda uniunganishe na sabrina ila sio ww
 
mabilionea sie tuna vibamia sasa ww umeshazaa naweza nisi enjoy sex halafu hatuna pumz za kukimbizana na watu wazima
tunatafuta watoto wabich labda uniunganishe na sabrina ila sio ww
Wee kibamia tulia bana
 
Kwa niaba ya njaa kali wenzangu tunawatakia mafanikio mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…