Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

Mabilionea hatupendi sana mabinti wa kulia lia njaa.ukitaka utajirike lazima uwe bahili.kuhonga tunaonga ila kwa target.maana kuna Wanawake ata kama ni njaa hiyo yenu imezidi
Weee acha urongoo,,nakutanaga na mdogo wake Rostam wala mtakula mnachotaka na kunywa,na pesa juu anakupa na wala haombi mzigo
 
mabilionea hawana muda wa mitandao ya jamii, sana sana wao ni kusoma email na kuzijibu au saa zingine wanajibiwa
 
Janja yenu eti mabilionarea wa jf, kumbe mnatafuta mtugande wenye mapesa yetu...!
 
Huku hamna totoz bali used zilizopigwa maji na macream kibao.
Eneo hili halihitaji uzoefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…