Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

Bao moja shs ngapi?? Naona mnapata tabi baada ya kufukuzwa bugurud na kimbokaaa
 
Sisi wa level za laki tunaitwaje? na sisi wa level za elfu kumi je?
 
Mh..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwani mnauza bei gani? huenda hata mimi naweza kumudu ingawa sio bilionea.

Cc mwenyekiti wa chama cha wanawake wapenda mteremko(CHAWAWAM)
 
bilionea aje kutafuta mwanamke humu tena kwa kubahatisha kiasi hiki maana humu unaweza panga apointment ukajuta kupoteza nauli yako ya daladala kwa aina ya mwanamke utakayekutana naye, polygon wa hatari, mabilionea wanakutana na vitu real bhana, nyie komaeni na sisi tu wachovu wenzenu.
 


doh..!!
sisi akina kajamba nani hatuhusuki ktk huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…