Uzi wa mafumbo (riddles)

Uzi wa mafumbo (riddles)

Citizen B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
6,681
Reaction score
9,084
Time to test your brain if you have Einstein's IQ

Umeenda dukani kununua nyasi za ajabu, ukaambiwa hizo nyasi ukizipanda kila siku zinakua mara mbili,(yani kwa mfano umezipanda heka moja kesho yake zinakua heka mbili kesho kutwa heka nne...n.k)
Ukagundua ukinunua pact moja itatumia siku sita kujaza shamba lako
Ukaona uongeze speed ya matokeo ukaamua ununue pact mbili,,,je itatumia siku ngapi kujaza shamba lako?
 
Umeenda Dukani kununua nyasi za ajabu.
Umeambiwa nyasi zinakua mara mbili kila siku(mfano kama umepanda heka moja,kesho zinakua mbili,kesho kutwa zinakua nne...nk)
Ukagundua ukinunua pact moja itachukua siku sita kujaza shamba lako.
Ukataka uongeze speed ya matokeo ukaamua ununue pact mbili.
Je itatumia siku ngapi kujaza shamba lako?
 
Turudi form 1

Time to test your brain if you have Einstein's IQ

Umeenda Dukani kununua nyasi za ajabu.

Umeambiwa nyasi zinakua mara mbili kila siku. Kwa mfano kama umepanda heka moja,kesho zinakua mbili,kesho kutwa zinakua nne nk

Ukagundua ukinunua pact moja itachukua siku sita kujaza shamba lako.
Ukataka uongeze speed ya matokeo ukaamua ununue pact mbili.

Je, itatumia siku ngapi kujaza shamba lako?
 
Umepotea katikati ya misitu ya Kongo,upo wewe,mdogo wako na kaka ako,,,ghafla mnatekwa na Kabila la watu wanaokula watu...
Kabla hamjaliwa unapewa chance wewe kama msomi kuliko wote ya kumuokoa kaka ako au mdogo wako
Kiongozi wa Kabila:"Ukiongea kitu cha ukweli tunamuachia kaka ako unaondoka naye Lakini ukiongea kitu cha uongo tunamuachia mdogo wako uondoke naye"

Utasema nini ili waachiwe wote??
 
Kama siku6 zinajaza shamba then Ndani ya siku tano zitakuwa zimeota half ya shamba ili zikimultiply mara mbili zinalijaza shamba siku ya 6....sasa zikiwa pact mbili it means ndani ya siku tano zote zitakuwa zimejaa half ya shamba ndani ya siku tano...so zitalijaza ndani ya siku tano
 
Umepotea katikati ya misitu ya Kongo,upo wewe,mdogo wako na kaka ako,,,ghafla mnatekwa na Kabila la watu wanaokula watu...
Kabla hamjaliwa unapewa chance wewe kama msomi kuliko wote ya kumuokoa kaka ako au mdogo wako
Kiongozi wa Kabila:"Ukiongea kitu cha ukweli tunamuachia kaka ako unaondoka naye Lakini ukiongea kitu cha uongo tunamuachia mdogo wako uondoke naye"

Utasema nini ili waachiwe wote??
Nitawaambia sisi sio watu bali ni Vibwengo kama nyie.
 
Time to test your brain if you have Einstein's IQ

Umeenda dukani kununua nyasi za ajabu, ukaambiwa hizo nyasi ukizipanda kila siku zinakua mara mbili,(yani kwa mfano umezipanda heka moja kesho yake zinakua heka mbili kesho kutwa heka nne...n.k)
Ukagundua ukinunua pact moja itatumia siku sita kujaza shamba lako
Ukaona uongeze speed ya matokeo ukaamua ununue pact mbili,,,je itatumia siku ngapi kujaza shamba lako?
Utatumia siku tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa inategemea na ntu na ntu pia na shamba na shamba
 
Back
Top Bottom