Uzi wa mafumbo (riddles)

Uzi wa mafumbo (riddles)

Turudi form 1

Time to test your brain if you have Einstein's IQ

Umeenda Dukani kununua nyasi za ajabu.

Umeambiwa nyasi zinakua mara mbili kila siku. Kwa mfano kama umepanda heka moja,kesho zinakua mbili,kesho kutwa zinakua nne nk

Ukagundua ukinunua pact moja itachukua siku sita kujaza shamba lako.
Ukataka uongeze speed ya matokeo ukaamua ununue pact mbili.

Je, itatumia siku ngapi kujaza shamba lako?
Hapa ulienda kununua "nyazi za ajabu na sio pakt"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom