Nitawaambia sisi sio watu bali ni Vibwengo kama nyie.Umepotea katikati ya misitu ya Kongo,upo wewe,mdogo wako na kaka ako,,,ghafla mnatekwa na Kabila la watu wanaokula watu...
Kabla hamjaliwa unapewa chance wewe kama msomi kuliko wote ya kumuokoa kaka ako au mdogo wako
Kiongozi wa Kabila:"Ukiongea kitu cha ukweli tunamuachia kaka ako unaondoka naye Lakini ukiongea kitu cha uongo tunamuachia mdogo wako uondoke naye"
Utasema nini ili waachiwe wote??
Utatumia siku tanoTime to test your brain if you have Einstein's IQ
Umeenda dukani kununua nyasi za ajabu, ukaambiwa hizo nyasi ukizipanda kila siku zinakua mara mbili,(yani kwa mfano umezipanda heka moja kesho yake zinakua heka mbili kesho kutwa heka nne...n.k)
Ukagundua ukinunua pact moja itatumia siku sita kujaza shamba lako
Ukaona uongeze speed ya matokeo ukaamua ununue pact mbili,,,je itatumia siku ngapi kujaza shamba lako?