Mafundi bomba wengi kazi zao mbovu. Na vipimo vyao wengi wanatudanganya. Kama umejenga nyumba yako chukua tape measure kapime uangalie ikiwa bathroom yako wemefuata standard ya hivi vipimo
View attachment 2602354
View attachment 2602361
View attachment 2602362
Tuje kwenye chemba wamekomaa na chemba za kizamani za kujengea ambazo huwa zinatema harufu na mazalia ya mende na zinachukua nafasi kubwa wakati siku hizi kuna chemba za kisasa zinaitwa
rodding eye drainage system. Faida yake;
(1) Mfumo huu unampa mwenye nyumba eneo kubwa la kufanya shughuli zake
(2) Hauingizi wala kufuga mende
(3) Unaongeza zaidi mvuto na mwonekano wa nyumba
(4) Unadumu kwa muda mrefu
(5) Haurudishi harufu
View attachment 2602363
View attachment 2602364
HAPA KABLA YA KUWEKA PAVING BLOCKS
View attachment 2602367
HAPA BAADA YA KUWEKA PAVING BLOCKS
View attachment 2602369
[emoji115]Piga picha hapo ingekuwa zimewekwa chemba za kujengea zingekuwa ngapi na hako kanjia usingeweza kupita kwa uhuru au kupitisha vitu[emoji116]
View attachment 2602373