Uzi wa malalamiko kwa watu ama taasisi unazodhani zinastahiki kulaumiwa kwa Yanga SC kukosa kombe msimu huu

Uzi wa malalamiko kwa watu ama taasisi unazodhani zinastahiki kulaumiwa kwa Yanga SC kukosa kombe msimu huu

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Kama inavyo fahamika kwenye ligi yoyote Dunia bingwa hua ni mmoja ,ligi kuu Tanzania bara imetamatika leo na Bingwa wa nchi Simba SC wamekabidhiwa kombe lao huku wapinzani wao wakuu Yanga SC wakitoka kapa, na hii ni kwa miaka minne mfululizo sasa.!

Ikumbukukwe uongozi wa Yanga uliwaahidi mashabiki na wadau wa Yanga kua msimu huu kombe uhakika na walisema kama wasipo lipata waulizwe!

Pasi na shaka Yanga kuanzia viongozi mashabiki na washika dau wa Yanga wana malalamiko juu ya kukosa ubingwa huo.

Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya wananchi au Yanga SC kuweka malalamiko yao yote kwa mtu ama taasisi yoyote wanayodhani ina stahiki lawama na kupelekea wao kukosa kombe msimu huu!
 
Hawa TFF ni Simba, wanakabidhi Kombe vipi wakati sisi Utopolo FC tuna kesi yetu kile CAS??haiwezekani wooote Simba hawa
 
GSM lawama kwake katuchomesha jua kumpokea sarpong airport akidai ni zaidi ya ronaldo.fiston tulimsubiri aitport masaa nane tukiambiwa anaweza piga chenga timu nzima
 
GSM lawama kwake katuchomesha jua kumpokea sarpong airport akidai ni zaidi ya ronaldo.fiston tulimsubiri aitport masaa nane tukiambiwa anaweza piga chenga timu nzima
GSM kalipa mishahara na kusajiri wachezaji ...alaumiwe tena !
 
GSM lawama kwake katuchomesha jua kumpokea sarpong airport akidai ni zaidi ya ronaldo.fiston tulimsubiri aitport masaa nane tukiambiwa anaweza piga chenga timu nzima

32caa7c1-db91-43ed-91be-f250bae98792.jpg

Sitosahai nilivyovuja jasho kumbeba huyo kanjanja! Halafu alitujambia kitu kinanuka mbaya...
 
Klabu ya Yanga wamenunua basi la Scania kama la Madrid ghafla likafanyiwa change kota likawa TATA,tff wanahusika na huu uhuni,kesi ifungiliwe CAS haraka iwezekenavyo kiwashtaki tff.
 
Klabu ya Yanga wamenunua basi la Scania kama la Madrid ghafla likafanyiwa change kota likawa TATA,tff wanahusika na huu uhuni,kesi ifungiliwe CAS haraka iwezekenavyo kiwashtaki tff.
Hahaha kwani TATA lina tatizo gani
 
Yanga bado ana nafasi ya kupata kombe maana ndio finalist wa kombe la Azam hivyo akimfunga Simba anabeba kombe na pia mshindi anapata pesa nyingi kuliko kombe la Vodacom na kombe la mapinduzi Yanga walishalibeba mbele ya Simba
 
Yanga bado ana nafasi ya kupata kombe maana ndio finalist wa kombe la Azam hivyo akimfunga Simba anabeba kombe na pia mshindi anapata pesa nyingi kuliko kombe la Vodacom
Kumbe kwahyo kukaa hata miaka 10 bila kombe la ligi ni poa kaana utakua unachukua FA?
 
Kumbe kwahyo kukaa hata miaka 10 bila kombe la ligi ni poa kaana utakua unachukua FA?
Ni bora ndio kwasababu lengo la kombe la ligi ni kuwakilisha inchi katika mashindano ya kimataifa kwa kucheza klabu bingwa. Na pili ni tuzo ya heshima pamoja na zawadi. Na kombe la Azam ni vile vile ni kupata nafasi ya kuwakilisha inchi katika mashindano ya kimataifa kupitia mashindano ya CAF CONFEDERATION CUP na pili kupata tuzo ya heshima na zawadi pia.
 
Back
Top Bottom