Uzi wa malalamiko kwa watu ama taasisi unazodhani zinastahiki kulaumiwa kwa Yanga SC kukosa kombe msimu huu

Uzi wa malalamiko kwa watu ama taasisi unazodhani zinastahiki kulaumiwa kwa Yanga SC kukosa kombe msimu huu

Ni bora ndio kwasababu lengo la kombe la ligi ni kuwakilisha inchi katika mashindano ya kimataifa kwa kucheza klabu bingwa. Na pili ni tuzo ya heshima pamoja na zawadi. Na kombe la Azam ni vile vile ni kupata nafasi ya kuwakilisha inchi katika mashindano ya kimataifa kupitia mashindano ya CAF CONFEDERATION CUP na pili kupata tuzo ya heshima na zawadi pia.
Una lazimisha furaha wewe...yani FA unafananisha na ligi? Uko sawa kweli?
 
20210718_20155023391.jpg

Adui namba 1 ni huyu,anadanganya Yanga mpaka uongo umekauka. Akipoteza na FA itamkuta balaa kubwa
 
Una lazimisha furaha wewe...yani FA unafananisha na ligi? Uko sawa kweli?
FA na Ligi kuu ni tofauti lakini ni bora kumaliza misimu kwa kubeba mkombe muhimu kama FA kuliko kumaliza msimu bila kombe lolote lile. Hata ulaya ipo hivyo kwamba target ya kwanza ni ubingwa wa ligi, ukikosa ligi basi kwenye msimamo uwepo hata nafasi ya pili na kisha kupambana kupata makombe mengineyo mbali na la ligi kuu. Italy kuna kombe la copa italy, Spain Kuna copa de ray, Germany kuna DFL cup, uingereza kuna Emirates FA cup na michezo yote hiyo inamfanya bingwa apate nafasi ya kucheza michuano ya kimataifa (Europa league)
Lengo la kwanza la timu ni kuhakikisha anabeba kila aina ya trophy iliyopo mbele yake.
 
Back
Top Bottom